Friday, July 26, 2013

PILIKAPILIKA ZA UTAFUTAJI WA PESA MANISPAA YA MOROGORO.

MSUKUMA mkokoteni Manispaa ya Morogoro akiwa anasukuma mkokoteni uliosheheni magodolo katika barabara ya Korogwe wakati akisafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine huku kukiwa na foleni iliyosabishwa na barabara kuwa nyembamba.
Mussa Fundi ambaye ni Tabibu wa dawa za asili akipanga tende juu ya gari ndogo wakati akisubiri wateja wake kununua bidhaa zake zikiwemo dawa za asili zinazotibu magon
jwa aina mbalimbali katika mtaa wa Jamatin Manispaa ya Morogoro.

No comments: