Mwaandishi wa habari wa IPP MEDIA Amina Saidi, akivalishwa taji na baba yake Saidi Mhina wakati wa mahafali ya chuo cha uandishi wa habari MSJ mjini Morogoro, Amina amemaliza kozi ya stashahada ya uandishi wa habari.
Wafanyakazi wa VETA Mikumi wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe wenye "Ajira Bora, Maisha Bora, Uchumi Imara na Maendeleo inawezekana bila Ufisadi" katika kilele cha sherehe za wafanyakazi Mei Mosi uwanja wa Jamhuri Morogoro