Tuesday, October 15, 2013

BIBI TITI AFUNGWA JELA MAISHA.

KESI ya Bibi Titi na wenzake saba iliendeshwa kwa siku 127 mwaka 1970 na walihukumiwa kifungo cha maisha jela.

Wakati mmoja, Rais  Mwalimu Nyerere kwa kujiamini alisema: “Ni mtu kichaa pekee ambaye anaw

Saturday, July 27, 2013

JK: ACHOSHWA NA WATU WANAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UJAMBAZI HUKU WAMILIKI WA SILAHA KINYUME NA SHERIA KUJISALIMISHA NDANI YA WIKI MBILI.

AMIRI Jeshi Mkuu, Rais Dk, Jakaya Kikwete, ametoa wiki mbili kwa watu wanaojihusisha na vitendo vya ujambazi, wakiwamo wanaomiliki silaha kinyume cha sheria na wahamiaji haramu kujisalimisha na silaha zao.
Alisema kwa kuwa amechoshwa na matukio yao, baada ya hapo kwa wale watakaoshindwa kutekeleza amri hiyo, msako mkali utakaofanyika ukiyahusisha majeshi yote utawan

CHAMA CHA DEMOKRASI NA MAENDELEO CHAENDELEA KUIVIMBIA JESHI LA POLISI.

 IGP-SaidIGP, Said Mwema.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
 
UAMUZI wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kuwasilisha ushahidi wa mauji ya mlipuko wa bomu uliotokea jijini Arusha, umeliweka njia panda Jeshi la Polisi na hivyo kushindwa kuchukua hatua.

Licha ya jeshi hilo kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, na kumtaka awasilishe ushahidi huo, kiongozi huyo amekataa agizo hilo akisema kuwa wamekub

KUTOKA KWENYE MAGAZETI JUMAMOSI JULAI 27/ 2013.

.
.
.
.
.

Friday, July 26, 2013

PILIKAPILIKA ZA UTAFUTAJI WA PESA MANISPAA YA MOROGORO.

MSUKUMA mkokoteni Manispaa ya Morogoro akiwa anasukuma mkokoteni uliosheheni magodolo katika barabara ya Korogwe wakati akisafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine huku kukiwa na foleni iliyosabishwa na barabara kuwa nyembamba.
Mussa Fundi ambaye ni Tabibu wa dawa za asili akipanga tende juu ya gari ndogo wakati akisubiri wateja wake kununua bidhaa zake zikiwemo dawa za asili zinazotibu magon

Manchester united vs Manchester city - 1-6 23/10/11

Wednesday, July 24, 2013

UCHAKACHUAJI SIO MWENYE MAFUTA TU BALI HATA KATIKA MCHAKATO WA MAONI YA KATIBA MPYA LAKINI....WAZUA ISHU.

https://encrypted-tbn2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTjq2GC2dha742SCOV1abaImO4rkhzQrcMVXWDZz5uQMG-k5nDi
KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA.

WARAKA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wanachama wake kushinikiza watetea matakwa ya chama hicho kwenye maoni yao katika mchakato wa Katiba Mpya umezua balaa, baada ya Mjumbe wa Tume ya Katiba kumzuia mmoja wa wajumbe wa Mabaraza ya Wilaya kutumia waraka huo kutoa maoni yake.
Alhaj Siad Elmamri ambaye kitaalamu ni mwanasheria, alimzuia Hussein Kiswil aliyekuwa akichangia mapendekezo kwenye rasimu hiyo, baada ya kubaini kuwa, alichokuwa anazungumza kilitokana na maelekezo ya CCM.
Hata hivyo hatua hiyo ilizua tafrani katika mkutano huo, baada ya mjumbe huyo wa baraza la Katiba wilaya, kutoridhika na msimamo huo wa mjumbe wa tume na kupend

RAGE AUZIKA RASMI UWANJA WA SIMBA SC A.K.A WEKUNDU WA MSIMBAZI.

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage.

MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage ameifuta ndoto ya klabu hiyo kuwa na uwanja wake, baada ya kusema haiwezekani uongozi wake kujenga uwanja katika miaka miwili wakati Serikali imejenga Uwanja wa Taifa kwa miaka 50.
Rage alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay huku ukitawaliwa na vurugu zilizosababisha ajenda za muhimu za mkutano kushindwa kujadiliwa kwa kina.
‘Serikali yangu ya Chama cha Mapinduzi CCM imewachukua miaka 50 kujenga uwanja wa kisasa ule wa Taifa, sasa mimi Rage na Kamati yangu tutaj