Juma Mtanda, Morogoro.
Timu ya soka ya Kinglwira FC imeishushia mvua ya mabao Kihonda Star katika muendelezo wa ligi daraja la nne msimu wa mwaka 2015/2016 kwa kuicharaza bao 3-0 katika mchezo mkali uliofanyika jana kwenye uwanja wa Sabasaba mkoani Morogoro.
Mshambuliaji wa Kinglwira FC, Nurdin Nurdin ndiye aliyeonekana mwiba mchungu kwa timu ya Kihonda Star kwa kufunga bao mbili pekee katika dakika ya 82 na 90 kufuatia pasi za mwisho za wachezaji Mohamed Mnyepe na Salum Nzange.
Nurdin alifunga mabao hayo moja akifunga kwa tiktaka baada ya mpira wa kona ulioanzishwa na Omari Godfrey kisha kukumiminwa krosi iliyomkuta mfungaji kabla ya kupokea pasi ya Salum Nzange.
Bao la kwanza la Kinglwira lilifungwa na Mohamed Mnyepe dakika ya 43 huku Kihonda Star ikishindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wao katika mchezo huo.
Katika michezo mingine timu ya Moro Youth FC ilitembeza kipigo kwa timu ya G-Seven baada ya kuisambaratisha kwa bao 4-1 wakati Don Bosco FC na Uluguay ya Sultan zikishindwa kutambiana baada ya sare ya bao 1-1.
Timu ya Maskan FC yenyewe ilikubali kutandikwa bao 1-0 mbele ya Barafu FC ya Kihonda na Magadu FC na Lubungo FC zilishindwa kucheza mchezo wao Desemba 26 ikipisha ligi daraja la kwanza kwa mchezo baina ya Polisi Moro SC na Burkina katika mchezo uloisha kwa sare ya bao 2-2.
Katika mchezo huo kati ya Magadu FC na Lubungo FC utachezwa januari mosi ambapo katika mchezo wa leo (jana) Moro City FC itaonyesha umwamba na Chipolopolo FC saa 10 jioni katika uwanja wa Sabasaba.CHANZO:MTANDA BLOG
Wednesday, December 30, 2015
KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA HARDNEWS JUMATANO DECEMBA 30/ 2015 YAKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.
Friday, August 21, 2015
EDWARD LOWASSA, DKT JUMA DUNI HAJI WARUDISHA FOMU TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akimkabidhi, Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, nyaraka mbalimbali zitakazotumika wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam leo Agosti 21, 2015. Kushoto ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni.CHANZO OTHMANI MICHUZI
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva akizungumza mara baada ya kupokea Fomu zilizorudishwa na Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni baada ya kukamilisha mchakato wa kutafuta wadhamini katika Mikoa 10 ya Tanzania na kutimiza masharti yote ya Uchaguzi, leo Agosti 21, 2015 kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutangazwa rasmi na Tume ya Uchaguzi kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 21, 2015 kwenye Ofisi za Tume hiyo, Jijini Dar es salaam. Pembeni yake ni Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni pamoja na viongozi wengine waliowasindikiza, wakitoka kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi baada ya kurudisha fomu leo Agosti 21, 2015.
Monday, March 24, 2014
SIFA HIZI NDIYO ZINAFAA KWA MWANAMKE KUMCHUNGUZA MWANAUME MWENYE MAPENZI YA DHATI SAMBAMBA NA NIA YA KUOA, KAMA ATAKOSA SIFA HIZI BASI HUYO NI TAPELI KATIKA MAPENZI.
HII
ni safu ya wale walio tayari kuambiwa ukweli hata kama utawauma.
Ndiyo...siku zote ukweli huwa unauma. Karibuni sana marafiki katika
uwanja wetu ili tuweze kupanuana mawazo katika mambo ya uhusiano.
Sunday, March 23, 2014
TENDO LA KUJAMIIANA HUMWONDOLEA MWANAMKE MSONGO WA MAWAZO, LAKINI FAIDA KUBWA MANII YA MWANAUME HUMFANYA MWANAMKE KUCHANGANYIKIWA KWA RAHA !!!.
TUJIKUMBUSHE KATIKA HILI.
Lakini si Kujamiiana tu ! Bali ni kujamiiana kavu kavu, (ngono isiyo salama) !
utafiti huu umefanyika Marekani kwa kuwahoji wanawake takribani 253, ambapo ilibainika kuwa kati ya hao, wale waliokuwa wakishiriki tendo la ngono pasipo ukame, tena bila kutumia kondomu, walikuwa na raha sana muda wao mwingi, hawakuwa na msongo wa mawazo kama vile wale wasioshiriki kabisa, au wale wanaoshiriki huku wamevaa kinga .!
Lakini si Kujamiiana tu ! Bali ni kujamiiana kavu kavu, (ngono isiyo salama) !
utafiti huu umefanyika Marekani kwa kuwahoji wanawake takribani 253, ambapo ilibainika kuwa kati ya hao, wale waliokuwa wakishiriki tendo la ngono pasipo ukame, tena bila kutumia kondomu, walikuwa na raha sana muda wao mwingi, hawakuwa na msongo wa mawazo kama vile wale wasioshiriki kabisa, au wale wanaoshiriki huku wamevaa kinga .!
Tuesday, October 15, 2013
Saturday, August 31, 2013
Thursday, August 1, 2013
Saturday, July 27, 2013
JK: ACHOSHWA NA WATU WANAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UJAMBAZI HUKU WAMILIKI WA SILAHA KINYUME NA SHERIA KUJISALIMISHA NDANI YA WIKI MBILI.
AMIRI Jeshi Mkuu, Rais Dk, Jakaya Kikwete, ametoa wiki mbili kwa watu
wanaojihusisha na vitendo vya ujambazi, wakiwamo wanaomiliki silaha
kinyume cha sheria na wahamiaji haramu kujisalimisha na silaha zao.
Alisema kwa kuwa amechoshwa na matukio yao, baada ya hapo kwa wale watakaoshindwa kutekeleza amri hiyo, msako mkali utakaofanyika ukiyahusisha majeshi yote utawan
CHAMA CHA DEMOKRASI NA MAENDELEO CHAENDELEA KUIVIMBIA JESHI LA POLISI.
IGP, Said Mwema.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Licha ya jeshi hilo kumhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, na kumtaka awasilishe ushahidi huo, kiongozi huyo amekataa agizo hilo akisema kuwa wamekub
Friday, July 26, 2013
PILIKAPILIKA ZA UTAFUTAJI WA PESA MANISPAA YA MOROGORO.
Wednesday, July 24, 2013
UCHAKACHUAJI SIO MWENYE MAFUTA TU BALI HATA KATIKA MCHAKATO WA MAONI YA KATIBA MPYA LAKINI....WAZUA ISHU.

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA.
WARAKA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wanachama wake
kushinikiza watetea matakwa ya chama hicho kwenye maoni yao katika
mchakato wa Katiba Mpya umezua balaa, baada ya Mjumbe wa Tume ya Katiba
kumzuia mmoja wa wajumbe wa Mabaraza ya Wilaya kutumia waraka huo kutoa
maoni yake.
Alhaj Siad Elmamri ambaye kitaalamu ni
mwanasheria, alimzuia Hussein Kiswil aliyekuwa akichangia mapendekezo
kwenye rasimu hiyo, baada ya kubaini kuwa, alichokuwa anazungumza
kilitokana na maelekezo ya CCM.
Hata hivyo hatua hiyo ilizua tafrani katika
mkutano huo, baada ya mjumbe huyo wa baraza la Katiba wilaya,
kutoridhika na msimamo huo wa mjumbe wa tume na kupend
RAGE AUZIKA RASMI UWANJA WA SIMBA SC A.K.A WEKUNDU WA MSIMBAZI.
MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage ameifuta ndoto ya klabu hiyo kuwa na uwanja wake, baada ya kusema haiwezekani uongozi wake kujenga uwanja katika miaka miwili wakati Serikali imejenga Uwanja wa Taifa kwa miaka 50.
Rage alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye
mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika Bwalo la Maofisa wa Polisi
Oysterbay huku ukitawaliwa na vurugu zilizosababisha ajenda za muhimu za
mkutano kushindwa kujadiliwa kwa kina.
‘Serikali yangu ya Chama cha Mapinduzi CCM
imewachukua miaka 50 kujenga uwanja wa kisasa ule wa Taifa, sasa mimi
Rage na Kamati yangu tutaj
Monday, July 1, 2013
Saturday, June 15, 2013
Sunday, February 17, 2013
Subscribe to:
Comments (Atom)






















