AMIRI Jeshi Mkuu, Rais Dk, Jakaya Kikwete, ametoa wiki mbili kwa watu
wanaojihusisha na vitendo vya ujambazi, wakiwamo wanaomiliki silaha
kinyume cha sheria na wahamiaji haramu kujisalimisha na silaha zao.
Alisema kwa kuwa amechoshwa na matukio yao, baada ya hapo kwa wale watakaoshindwa kutekeleza amri hiyo, msako mkali utakaofanyika ukiyahusisha majeshi yote utawan





